|
ETIKA SUA |
SUAHELI |
www.etika.com |
|
11P |
BABA YETU |
|
Baba yetu
ulioko mbinguni, Jina lako litakaswe!
Ufalme wako uje!
Uyatakayo yatimizwe
nchini,
Tupe leo chakula chetu cha kututunza!
Tuondolee makosa yetu,
Usituingize majaribuni!
Jla tuokoe maovuni!
Kwani wako ni ufalme na nguvu na utukufu kale na kale.
Amin.
|
Antichristus |
NOVUM TESTAMENTUM |